Kuhusu

Mimi ni Profesa Mdogo kwenye Kitivo cha Lugha na Fasihi, Chuo Kikuu cha Bayreuth.  Kati ya mavutio yangu ni lugha za Bonde la Ufa la Tanzania, kutengeneza kumbukumbu zao na kuzieleza, kusoma mofosintaksi yao, na kujifunza kuhusu historia na utamaduni za wazungumzaji wao, hasa kwa njia ya sanaa za lugha na mgusano wa lugha.